Fursa nzuri ya kilimo cha parachichi

Fursa nzuri ya kilimo cha parachichi

alini alberto

Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
69
Reaction score
28
S
 
Attachments

  • IMG_20181112_110835.jpeg
    IMG_20181112_110835.jpeg
    90.3 KB · Views: 126
  • IMG_20181112_104836.jpeg
    IMG_20181112_104836.jpeg
    94.6 KB · Views: 104
Nchi gani inayoruhusu export ya bidhaa kirahisi, hii niliopo au umepost toka Kenya mkuu
Ila katika nchi yeyote export inasaidia kuleta maendeleo ya kiuchumi sasa nashangaa hapa tuko nyuma sana aise mpaka inasikitisg=ha maana kuna masoko mengi sana huko kwa wenzetu lakini hapa kwetu wakulima hawapewi support yani.
 
Nitafute inbox nikupe maelezo vzur

Tanzania tunafny export toka muda mbona hasa zao la Parachch lkn only for certified products not otherwise

Nichek inbox
parachichi inapelekwa wapi Ndugu unaweza kutujuza hapa jamvini aise.
 
Ila katika nchi yeyote export inasaidia kuleta maendeleo ya kiuchumi sasa nashangaa hapa tuko nyuma sana aise mpaka inasikitisg=ha maana kuna masoko mengi sana huko kwa wenzetu lakini hapa kwetu wakulima hawapewi support yani.
Kuna ukiritimba na urasimu wa hali ya juu, hamna kitu uta export bila usumbufu na hata hivyo ambavyo havina bugudha unahitaji vibali vya kutosha waweza ambiwa minimum uwe na mtaji wa million si chini ya 200 utaweza kweli! Hatuwezi endelea, imports zimezidi export matunda yanaozea shambani hapo Tanga kungekuwa na viwanda vya kusindika yakatumwa nje ya nchi ingekuwa baab kubwa!
 
Duuuu tuna safari ndefu sana maana tunaenda tofauti kabisa nchi ikitaka kupiga hatua kiuchumi lazima kuongeza export zaidi ya import lakini huku kwetu mambo ni kinyumenyume mpaka yanakatisha tamaa alafu utakuta wanataka kodi za ajabu ajabu sijui tuna matatizo gani aise.
 
Hahahahahaha ok Parachch (Hass var) inapelekwa France iyo ni export Ya moja Kwa moj kutoka Tanzania

Ila pia wakenya wanakujaga kununua pia wanakwenda fungashia kwao then wanaexport ila sijafatilia wanapeleka wapi

Lakini Good news ni kwamba kinajengwa Kiwanda cha kukamua mafuta Ya Parachichi hapa Tanzania kikubwa haijawah tokea na soon kitakamilika hivyo Hakuna shida Ya soko kabisa wanunuzi watakuwa tele
safi sana ndugu.
 
Back
Top Bottom