Nahitaji spirit inayotengeneza GIN

Nahitaji spirit inayotengeneza GIN

Rwaz

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,295
Reaction score
4,134
Kama kichwa cha habari kilivyo. Nahitaji kwa kiwango cha parking ya lita 250(drum). Pia anayejua naweza kupataje kibari cha kununua na kusafirisha spirit anielekeze. Niko kagera. Natanguliza shukran.
 
Hizi huwa zinapatikana India na south africa.. Ila Best spirit zinapatikana Germany

Back
Top Bottom