mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 830
- 997
Kwa anayefahamu bei ya hizi simu na wapi naweza kuzipata jijini Dar es salaam.
Nashukuru sana
Nashukuru sana
Hebu cheki na JUMIA TANZANIAKwa anayefahamu bei ya hizi simu na wapi naweza kuzipata jijini Dar es salaam.
Nashukuru sana
Hawa jamaa bei yao huwa imechangamka kidogo ukilinganisha na kwenda kununua dukani directlyHebu cheki na JUMIA TANZANIA
Hiyo ndiyo principle ya biashara ya kwenye mtandao, siku zote inakuwa juu ili kufidia magharama mengi mengi. Pia wanadhani ninyi mnaoingia kwenye mitandao MNAZO!Hawa jamaa bei yao huwa imechangamka kidogo ukilinganisha na kwenda kununua dukani directly
hahhahahaaaMNAZO