Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Mwasenda Development Intervention (MDI) ni shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake makuu jijini Mwanza (Nyasaka Centre). Tunawatangazia walimu wa masomo ya sayansi na hisabati walioko jijini Mwanza kuwa tuna nafasi (madarasa matatu (3) kwa ajili ya kutumika kufundishia Tuition kwa kipindi cha rikizo ya mwisho wa mwaka 2018. Madarasa (pamoja na viti) yako katika ubora wa hali ya juu. Pia miundo mbinu ya vyoo, umeme na maji ipo.
Kama uko tayari kuwahudumia wanafunzi kipindi hiki unakaribishwa ili kuweza kuendesha program hiyo.
Fika kituoni hapo ili uweze kuweka maandalizi kuanzia tarehe 12 November 2018. Ofisi ziko wazi kuanzia saa 03:00 asubuhi hadi saa 11:30 jioni. Kwa maelezo zaidi piga simu (au tuma SMS) namba 0655-533543.
Karibu tuwahudumie vijana wetu ili wajiandae kuwa na elimu bora na endelevu.
By Utawala
Mwasenda Development Intervention
P. O. Box 1263 Mwanza, Tanzania.
E-mail: mwasenda2018@gmail.com