Msaada wa taarifa kuhusu uwakala wa cement.

Msaada wa taarifa kuhusu uwakala wa cement.

Fernanda

Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
76
Reaction score
80
Habari! Nahitaji kuwa agent wa cement mwenye uelewa naomba anisaidie vitu vifuatavyo:
1.)mtaji wahitajika kiasi gani kwa wakala
2.)bei ya mfuko mmoja kwa kiwandani.
Akhasnte.
 
Uko wapi na unataka kua wakala wa kiwanda/cement gani?
 
Tuma huo mtaji ulionao ili nikuonganishe kiwandan kabisa usipate usumbufu.
 
Habari! Nahitaji kuwa agent wa cement mwenye uelewa naomba anisaidie vitu vifuatavyo:
1.)mtaji wahitajika kiasi gani kwa wakala
2.)bei ya mfuko mmoja kwa kiwandani.
Akhasnte.
Ukipata jibu nishtue mkuu ata mm ninawazo hilo nipo Mby
 
Nadhani kama una mtaji wa tani saba,unaweza kuchukua kuanzia sh. 8000/bag kwa kiwandani;ila wasiliana na watu wa masoko katika hivyo viwanda watakusaidia.au kama una mtaji mdogo nunua kwa wauzaji wa jumla kwa mkoa uliopo uuze rejareja
 
Back
Top Bottom