Jinsi ya kuearn money kama Blogger

Jinsi ya kuearn money kama Blogger

jenmahhu

New Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Habari za jion wapendwa.

Naomba kuuliza ni jinsi gani unaweza kutengeneza pesa kama blogger au kwa kumiliki applications kwenye playstore?
 
Njia za kutengeneza pesa kama blogger:
  1. Tafuta topic za ku blog: ingawa wana blog wengi wa kibongo wanablog kuhusu habari na mambo ya udaku, tafuta topic ambayo unaipenda na inapendwa kusoma. Mifano ya topic ni ujasirimali, siasa, teknolojia, michezo, mapishi etc. Angali ujuzi wako ni nini na ublog katika expertise yako.
  2. Soma sana kuhusu topic unayo blogu mpaka makala zako ziwe na quality ya hali ya juu. Soma kama mwendawazimu mpaka ufikie kiwango ambacho wachache wataweza kufikia. Ki ufupi usijione kama blogger bali jione kama mtaalamu (expert) anaye blog
  3. Usiweka matangazo. Najua wengi watanipinga katika hili lakini kama una run blogu yako kama biashara, utatengeneza pesa nyingi kuuza bidhaa zako kuliko kuweka matangazo kama adsense.
  4. Tengeneza bidhaa kuhusiana na expertise yako.
  5. Tengeneza sales funnel kujenga listi ya wateja wako watarajiwa ili kuweza kuwauzia bidha zako hapo mbeleni.
  6. Kuwa affiliate: Lipwa pesa kwa kuwauzi wasomaji wa blogu yako bidhaa wanazohitaji. Pesa zinazopatikana kwenye affiliate marketing ni kubwa kuliko zinazopatikana kwenye matangazo.
  7. Tengeneza bidhaa ya bei ya juu na uwauzie wachache watakaohitaji. Ukishakuwa expert kuna watu wenye pesa watakaohitaji time yako zaidi. Walipishe premium prices na uwakamate mkono ku solve problem yao.
Kujifunza zaidi kuhusu blogging msome sana jamaa anaitwa Jon Morrow kwani yeye anatengeneza dola $100,000 blogging. Unaweza kuanza na makala yake hii Make Money Blogging: 20 Lessons Going to $100K per Month

Natumai umepata mawili matatu.
 
Asante mkuu! Am working on this
 
Hamna shida kaka. By the way, I'll be setting up few blogs for some people soon + FREE video training. Kama upo interested nijulishe kwa kuandika "I'm interested" kwenye comment hapa chini ikisha nitaku PM ikiwa tayari.
 
Dr. Said Umezungumza Vyema Sana Bali Kuna Jambo1 Naona Hujaligusa Au Kama Umeligusa Basi Kidogo Sana.

Blog Yenyewe Bila Matangazo Ya Kampuni Au Bidhaa Yoyote Ile, Inaingizaje Pesa.

Mfano.
Mimi Nina Blog Let Say Naiita Manasse.
Naandika Makala Fulani Eidha Ya Ujasiliamali, Maisha, Mapenzi, Dini Au Vinginevyo Lakn Sitangazi Chochote.
Je Naweza Kupata Pesa Kwa Watu Ku'visit Blog Yangu Au Hata Waki'Visi Hakuna Pesa Ninayopata Kama Hivi Nilivyo Jf Sasa, Nina Akaunti Lakn Hakuna Pesa Ninyopata Bali Ni Maarifa Tu.

Samahani Kwa Usumbufu.
 
Kaka inabidi usome tena na tena maneno niliyoandika. Nafikiri nukta ya tatu hadi ya mwisho nimeongelea jinsi gani ya kutengeneza pesa kwenye blogu yako.

Wanablogu wenye kutengeneza pesa za uhakika ($100,000/mwezi) kama Jon Morrow wanapinga vikali sana kuweka matangazo. Matangazo ni distraction kwa wasomaji wako na inawafanya watoke nje ya blogu yako na kuenda kwengine. Na kuweza kupata tovuti yenye kupata wateja wenye kulipa pesa nzuri kwa ajili ya matangazo, lazima uwe na traffic kubwa sana jamba litakalokuchukuwa mda mrefu kujenga.

Ukitaka kutengeneza pesa kwenye blogu yako soma nukta ya tatu hadi ya mwisho niliyoandika hapo juu. Kama kuna nukta hujaelewa nitakuelewesha zaidi.
 
asante sana umenifungua hata mm kwani mm nina blog ila sasa bado kuna baadhi ya mambo sijakamilisha
nataka nikamilishe kisha nianze kuifungua rasmi asante sana kwa maelezo yako yamenifungua macho sana kaka said
 
Your welcome. Una blog yenye kuzungumzia nini?
 
Njia za kutengeneza pesa kama blogger:
  1. Tafuta topic za ku blog: ingawa wana blog wengi wa kibongo wanablog kuhusu habari na mambo ya udaku, tafuta topic ambayo unaipenda na inapendwa kusoma. Mifano ya topic ni ujasirimali, siasa, teknolojia, michezo, mapishi etc. Angali ujuzi wako ni nini na ublog katika expertise yako.
  2. Soma sana kuhusu topic unayo blogu mpaka makala zako ziwe na quality ya hali ya juu. Soma kama mwendawazimu mpaka ufikie kiwango ambacho wachache wataweza kufikia. Ki ufupi usijione kama blogger bali jione kama mtaalamu (expert) anaye blog
  3. Usiweka matangazo. Najua wengi watanipinga katika hili lakini kama una run blogu yako kama biashara, utatengeneza pesa nyingi kuuza bidhaa zako kuliko kuweka matangazo kama adsense.
  4. Tengeneza bidhaa kuhusiana na expertise yako.
  5. Tengeneza sales funnel kujenga listi ya wateja wako watarajiwa ili kuweza kuwauzia bidha zako hapo mbeleni.
  6. Kuwa affiliate: Lipwa pesa kwa kuwauzi wasomaji wa blogu yako bidhaa wanazohitaji. Pesa zinazopatikana kwenye affiliate marketing ni kubwa kuliko zinazopatikana kwenye matangazo.
  7. Tengeneza bidhaa ya bei ya juu na uwauzie wachache watakaohitaji. Ukishakuwa expert kuna watu wenye pesa watakaohitaji time yako zaidi. Walipishe premium prices na uwakamate mkono ku solve problem yao.
Kujifunza zaidi kuhusu blogging msome sana jamaa anaitwa Jon Morrow kwani yeye anatengeneza dola $100,000 blogging. Unaweza kuanza na makala yake hii Make Money Blogging: 20 Lessons Going to $100K per Month

Natumai umepata mawili matatu.
Dr. Said unaweza nisaidia namna ya kupata blog ya kitaalamu ambayo iko tayar kuitumia
 
Back
Top Bottom