abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 856
- 788
Natafuta milango ya chuma ya kisasa kama ile ya kichina saizi 114CM x 245CM. Milango miwili wa mbele na wa nyuma iliyotayari au ya kutengeneza. Tafadhali wasiliana na mimi hapa au inbox na sample zako. Bei iwe pamoja na lock and ufungaji. Site iko Bunju beach.