Kampuni gani ya kukodisha magari(car rental) bei zao ni nafuu hapa dar?

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wadau, kampuni gani ya kukodisha magari hapa mjini bei zao zipo nafuu kwa mtu anayetaka gari ya kutembelea ndogo mfano wa mark 2 au Toyota Cresta,kwa muda wa wiki moja. Mwenye info tafadhali.
 
Mimi personal ninayo toyota verossa,Black,Reg:T568CKC,2004,ipo kwa ajili hiyo tu,nimeipark tu home,compresssive insured,inasubiria watu kama wewe,Bei yangu poa sana,nicheki plsea kwenye: 0714 345432 /0755 927881
Email :dbuberwa@imbank.co.tz or macdonaza@yahoo.co.uk

or send me your email nikutumie picha zake...
 
...kwa kifupi tu ninaikodisha hii gari....!
karibuni wote wana JF!
 
Kama unahitaji Toyota verosa,MK 2 Grande 2004-2006 models,fueled for 100KM/day/with a driver. 100US$.
Corolas 2000models,Cami,Terios 50US$.Kama ukizihitaji,just send a PM. Land cruiser Prado 2000 models 150US$ same conditions.
asietangaza bei ?*? Kama una mapungufu usiache kujieleza.
 
Kama unahitaji Toyota verosa,MK 2 Grande 2004-2006 models,fueled for 100KM/day/with a driver. 100US$.
Corolas 2000models,Cami,Terios 50US$.Kama ukizihitaji,just send a PM. Land cruiser Prado 2000 models 150US$ same conditions.
asietangaza bei ?*? Kama una mapungufu usiache kujieleza.

Mimi naitaji prado nicheki kwa no 0653670252
 
Sorry headson,kwa week hii zetu ziko safarini zote,kama unaruhusu,nieleze ni ya kazi gani kama ni city trips/tours au kipi naweza kumueleza mtu akutafute,zao ni 2000Models.
 
nicheki on 0714 345432,picha za verossa yangu T568CKC....Compr insured!


201213-1842.jpg 170114-1819(001).jpg 170114-1815(001).jpg 170114-1812.jpg
 
Watu naona hawataki hata kuweka bei, loh! Wabongo tunaumizana, mtu ana shughuli zake za sku mbili tatu mjini lakini mnapiga bei kama mnakodisha kampuni, mimi schukui gari yoyote inayozidi 50K mafuta kwangu na ninaendesha mwenyewe:A S 27:
 
U can gate have that Toyota Verossa for $35 to $40 per day!

Toyota Vitz for &25 to $30 per day!

Noah for $35 to $40 per day!
 
U can gate have that Toyota Verossa for $35 to $40 per day!

Toyota Vitz for &25 to $30 per day!

Noah for $35 to $40 per day!

Bei ni pamoja na mafuta au bila mafuta. Dereva je? Continental Hotel wanakodisha shilingi 150,000/= bila mafuta na dereva wao.
 
That for me only,mafuta&dereva ni wako,

Kama mafuta na dereva ni juu yangu basi bei inaenda kwenye $100 mkuu!............
 
Wadau natafuta bei na Kampuni ya kukodisha magari (car rental) bei zao ni nafuu Bukoba/Kagera kwa siku?



Thanks
 
Back
Top Bottom