Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Waheshimiwa nimevutiwa na forum hii, nami nimeamua kujitosa na kushiriki katika kutoa mawazo yangu katika mambo mbalimbali! Hodiiiiii!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mabibi na Mabwana, Naingia na kujitosa katika hii jumuia ya jamii forum kama member mpya kabisa. Natarajia kujifunza mengi kutoka kwa wanajumuia waliotukuka katika kila aina ya nyanja katika...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
I am posting this thread as a new JF member. I hope am warmly welcomed!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu zenu nafurahi kuwa mmoja wenu,kuna mengi yakujifunza:):)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari all ,nice to in the forum
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Mbagala bombs have scared me a lot!! I have not much to say today except that in addition to being scared, I am sorry for not saying a word this long.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello to every one here at Jamii Forums! It is a pleasure to join in and I look forward to many discussions and contributions on various topics that will enlight us all on issues that matter to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hodi wana JF? Kwanza habari zenu? Naomba mnipokee katika Forum hii ya jamaa. Ni mimi Malaika mweupe.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani ndani hodini, hamjambo afya zenu Najiingiza kundini, naomba karibu zenu Nijipenyeze pembeni, niweze kuwa wakwenu Mzizi wa Mbuyu laivu, jamiini naingia Wakuu wa tafakuri, nipeni japo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni Emma, Mwanamke mpenda haki, mtoa haki, muwazi na mkweli. Naomba ruhusa nianze kujumuika na wana jamii. Naahidi kufuata sheria za forum hii murua, Nitakuwa mimi kwa mitazamo yangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asalam Alekum wana JF
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana wa JF, Mimi ni mgeni kabsaa, natoka kijijini. Nimengia hapa juzi tu. Nafurahi kuwa mmoja wa jamii hii. Kagwina
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hello! fred
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Just got in, ready to share constructive ideas and knowlege with JF members.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo! Mimi i mwanachama mpyaaaaaaaaa katika kndi tafadhali nikaribisheni ili nami niweze chagia na kuibua changamoto mpya na kujenga jamii yetu. Wazeyaaaa yaliyomo yamo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Just to say HI!!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hamjambo wana JF? Hii forum inaelimisha mambo mengi, kweli ni Home of great thinkers, tudumishe hili kwa kuandika katika lugha safi,ili tuendelee kujifunza na kuburudika pia.Ahsanteni wenzangu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hi to all out there
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hey all! Hope you guyz in this wing re purely cool Just wanna say hello as my JF openin remark Stay Blessed ALL
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi Guys!!! Am I invited?? Star
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom