Yaliyomo Yamo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyomo Yamo?

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Kitoto Akisa, May 12, 2009.

 1. K

  Kitoto Akisa Member

  #1
  May 12, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo!
  Mimi i mwanachama mpyaaaaaaaaa katika kndi tafadhali nikaribisheni ili nami niweze chagia na kuibua changamoto mpya na kujenga jamii yetu. Wazeyaaaa yaliyomo yamo?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Karibu jamvini.
  Hapa hamna cha mgeni siku ya kwanza wala ya kumi,
  twakukaribisha kwa mikono miwili na kuanzia sasa umeshakuwa mwenyeji.
   
 3. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2009
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kitoto! haya bana dugu, kaa ufuate sharia za huku ufaidike.
   
 4. M

  Msindima JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  unakaribishwa sana
   
Loading...