HODI Wanajamii. Hodi hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HODI Wanajamii. Hodi hapa.

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Emma M., May 16, 2009.

 1. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni Emma,
  Mwanamke mpenda haki, mtoa haki, muwazi na mkweli.
  Naomba ruhusa nianze kujumuika na wana jamii.
  Naahidi kufuata sheria za forum hii murua,
  Nitakuwa mimi kwa mitazamo yangu,
  Sitamuogopa mtu kwa jina, umri, uwezo, au jinsia,
  Nitamheshimu kila mtu hata kama hatajiheshimu binafsi,
  Sitampaka mwanajamii yeyote mafuta kwa mgongo wa chupa,
  Sitapenda mwanajamii yeyote kunipendelea,
  Nitakuwa tayari kubadili mtazamo wangu nikigundua mtazamo bora zaidi,
  Sitalazimika kupongeza nisichokikubali.

  Nabisha hodi,
  NAOMBA KUFUNGULIWA MLANGO JAMIIFORUMS.
   
 2. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Karibu sana. Uwe huru kabisa. Karibu
   
 3. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2009
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Karibu sana Emma na nafikiri unachokikusudia ndio ambacho tunakitarajia kwa upamoja wake kwa maslahi ya Taifa.
   
 4. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante ndugu.
   
 5. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana.
   
 6. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Karibu sana bibie..........! Ebu pita hadi huku sebuleni kabisa! Tupe michango yako hapa The home of Great Thinkers!

  Cheers
   
 7. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  EMMA,
  Karibu.
  Naahidi sitakupendelea kwa kuwa wewe ni mgeni au kwa vile wewe ni mwanamke,
  Kile utakachostahili kulingana na mchango wako katika JF(Jamii Forum) nitakupatia.
  Hapa JF utakomazwa na kulelewa vilevile.
  KARIBU MADAM,.
   
Loading...