Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello wana jamvi mimi ni mwana jamvi mpya tafadhari nipokeeni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimejaribu Pita Pita katika JF nakuipenda na ni matumaini yangu kuwa Wana JF Mtanilea vizuri! 你好!Nihao! -Habari! 我 wo-mimi 你 ni-Wewe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hamjambo wanajamii?nimefurahi kujiunga ndani ya jukwaa hili.Hongereni kwa yote mema mnayoyafanya.Tuko pamoja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nabisha hodi wakuu wana JF kijana wenu/mdogo wenu najiunga jamani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ukimsikiliza mh,rais wetu anavyosisistiza kuhusu kilimo kuanzia kwenye pesa za epa mpaka kwenye bajeti nabaki najiuliza kitu kimoja pesa hizi mkulima wa kawaida atazikopa vipi hana dhamana ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndiyo tu nimejiunga na forum hii. Naahidi kuwa mwanachama productive nitakayeshiriki katika mijadala kwa hoja. Ninaleta post yangu ya kwanza muda si mrefu ujao.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wenzangu, Shikamooni wazee. Mi si mgeni, ila sikuiona hii sehemu ya kuamkia nilipojiunga. Jah bless, One Love - One Aim - One Destiny. PamoJah.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hope it makes the difference to join the thinkers and praying it makes me think with you people !
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi
Mfalme hapa. Ingawa nimeshajibujibu kidogo kwenye habari kadhaa, lakini mimi bado ni mgeni hapa ukumbini. Nimeona nisalimie kidogo na kujitambulisha.Tuko pamoja, naomba mnipokee wandugu. Mfale.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello kwa wanajamii forums wote. I am a new comer. Safina.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
its nice to b part of you.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamii hajambo?naombeni sana ushirikiano wenu humu jamvini
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi to the entire JF Community! After having been a fervent reader of JF, today I made-up mind to register so that I can access contents privileged to members only and occassionaly share my...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kukaribishwa ili nami niweze shiriki kusoma na kuchangia hoja ndani ya jamiiforums. :)
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF nilitambulishwa na rafiki yangu ktk jamii hii, nami natka kuwa mmoja wenu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello Great Thinkers! I've just joined JF and would like to become an active member so that I can make my contribution for the welfare of our nation. Bravo JF!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hodi ndani ya uwanja huu. Mimi ni mwanachama mpya. Naomba mnipokee katika jumuiya hii ya wenye mawazo mazito. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaamu, Nimependekezwa na topics zinazo chambuliwa kwenye forum hii na nina ahidi kutoa mchango wangu, inshallah. Wenu, Riqab Mikail Dar es Salaam.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nafurahi kujiunga na JF, ulimwengu wa wafikiriao....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hodi, hodi: nami nimeingia baada ya kuangalia mapambano baina ya haramu na halali (evil and virtue). Nimekuja kuongeza nguvu upande ule wa haki -- upande wa halali, upande wenye matumaini na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom