Utambulisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utambulisho

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by MalaikaMweupe, May 14, 2009.

 1. M

  MalaikaMweupe Member

  #1
  May 14, 2009
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hodi wana JF?

  Kwanza habari zenu?
  Naomba mnipokee katika Forum hii ya jamaa.
  Ni mimi Malaika mweupe.
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  Karibu sana malaika,toa na sisi tukupe,mwisho wote tunafaidika na jf.
   
 3. N

  Nampula JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you are more than welcome white angel.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 60,419
  Likes Received: 39,961
  Trophy Points: 280
  Karibu sana Malaika, Malaika ni watu wa vyoda vyoda tu (wingi wa soda) ha ha ha ha maana kilevi hawagusi. Haya humo kwenye frigde kuna fanta, mirinda na coke na pia orange juice chukua chochote kinachokuvutia pia hapo kwenye kabati kuna sambusa na kababu jichane kadri ya uwezo wako ha ha ha ha. Karibu sana jamvini :)
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Tunategemea una hoja nzuri kabisa zilizokusukuma uje jf. Unakaribishwa sana
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  we malaika unatoka jimbo gani huko mbinguni? au ndo wale waliokuja na yule mshkaji alipotaka kumpindua bosi wake?
   
 7. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Karibu sana malaika mweupe
   
 8. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,497
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Karibu sana malaika mweupe, ingia mpaka ndani na ujisikie uko nyumbani. Tunaimani utamapa mengi mazuri humu ndani na pia sie twategemea mazuri mengi toka kwako! JF - Where We Dare to Talk Openly!!
   
 9. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  BAK labda malaika anapenda kilevi? kuna friji lina kilevi. Mpe mafriji yote, yeye achaguwe.
  Karibu sana malaika.
   
 10. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nami nimekuja
   
 11. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  karibu sana
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  usijivunge dogo
  endelea kutembelea JF kisha tunapenda sana kusoma post zako ktk kuchangia au kuibua mada
  jisikie upo karibu. Ila humu kuna waume kwa wake bila kumsahau robot kiboko kweli huyo
   
Loading...