Hodi hodi ndani ya jumba!.

Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,164
61,249
Mabibi na Mabwana,
Naingia na kujitosa katika hii jumuia ya jamii forum kama member mpya kabisa. Natarajia kujifunza mengi kutoka kwa wanajumuia waliotukuka katika kila aina ya nyanja katika ukumbi huu. Natanguliza shukrani.
 
Karibu sana -
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom