halloooooooooo

wandugu habari nimejiunga na forum hii maridhawa nahitaji ushirikiano wenu

karibu sana ila kuwa makini na 'mafisadi wanaotaka kuharibu JF', wapo wapo tu utawaona...wao kazi zao ni kubisha tuuuu! muda si mrefu wata-argue juu ya hii post yangu! utamuona tu! waga hachelewi 'kukurupuka', anajijua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom