Hodi hodi Babaa naingia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hodi hodi Babaa naingia

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Babaa, Nov 11, 2009.

 1. B

  Babaa New Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Nov 11, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana hamjambo?? Napiga hodi kwenu tafadhalini nipokeeni ni mgeni wenu kwenye Blog hii ya Jamii, ndiyo naja kwenu leo.

  Jamani nimekuwa mwanachama, nakubali hiki ni kisiwa cha fikra. Asanteni sana nikaribisheni kwa moyo.

  Tuijenge nchi yetu kwa pamoja.
   
 2. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Karibu sana Babaa hapa JF. Huku kuna mababuu, mabibii, mamaa nk utajisikia upo nyumbani
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Karibu moja kwa moja kwa mikono na miguu yote
   
 4. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Karibu babaa, unatokea Matejoo au Ngarenaro?
   
 5. I

  Irizar JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndugu Babaa karibu sana na ujisikie nyumbani, aisee tunachotaka humu ni uchangiaji mzuri, tafadhali jitahidi sana uwe unachangia mada.
  Karibu sana Babaa tusukume gurudumu letu.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hee....!
  Huyu atakuwa mtu wa eneo linaitwa IKIDING`A, ..kama sio huko, basi ni OLDADAI...lol
   
 7. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Daah! Sitii neno mkuu.
   
Loading...