Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu mabibi na mabwana, vijana na wazee. my name is junior from Tanzania but i'm currentely lives in marloca spain, i just came-accros this board from my friends who recommends me to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamjambo wanajamii? Nimefurahi kujiunga katika ukumbi huu wa Great Thinkers. Natumaini sote tutafaidika kwa michango mbalimbali. Nawatakia kila la heri kwenye kusukuma gurudumu la maendeleo ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jina langu M-mbabe (mtumishi; adui numero uno wa fisadi's; sihitaji udiwani, ubunge wa uraisi). Nafurahi kujumuika na wanajamii kwenye wanja hili. Wanja hili liko juu!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hodi Wanajamii, I'm Qadhi,MBBS student outside Tanzania,glad to join,expect to learn alot from and exchange views with Great Thinkers. Peace. Call me Qadhi.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello wana Jamii. Mimi naitwa simplelady, napenda kujiunga kwenye forum yenu. Napenda kuwafahamu na pia kujua taratibu za humu ndani. Ahsante
0 Reactions
15 Replies
3K Views
wazima wote!!!!!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Haloo great thinkers, Nafurahi kuungana nanyi kwenye hii forum ili tuendeleze majukumu ya kujenga jamii yetu pamoja. Naomba mnipokee.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dear All I am extremely very happy to join the club. I will appreciate getting tips on job opportunities.I have a very wide experience in relief and emergency operations. Professionally I am a...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wote? mimi ni mwanajamii mwenzenu niliyepata nafasi ya kujiunga nanyi leo. nafurahi kuwa hapa. nilipata kusikia habari kuhusu jukwaa hili la jamii hivyo nikaona si vibaya nikajiunga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi naingia saa hii lakini nipo. Salaaam sana kwa wote hapo hapo. Kipande hii nimeipendelea sana. C u around!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naitwa Irene kutoka Dar Tanzania. Nilifika kijijini siku mbili tatu zilizopita nikawa nashindwa kuona mahala pa kupost thread sasa nimepapata nakupeni hi wote! Naamini mmenikaribisha hapa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi ladies and gents, mambo yakoje and how are you for those who are not used to SWAHILI Language. Unajua, when you enter a place which for sure you know that you are new, you better give asalam...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Amani kwenu wana jf; niko na furaha kujiunga na forum the home of great thinkers. Natumai nami nitachangia ili nami niweze kuchangia kwenye kufanya watanzania kufikiri kwa uhuru zaidi. Tupo pamoja
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I have been reading Jamii Forum the home of great thinkers for a while. I would like to post starting with my light touches of likes like quatations, jokes and meditations. So do read me when...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Am Yanky, 4rm Kenya,Jamii forums 's @home. a u my brother?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ombi maalum kwako mheshimiwa Moderator weka option ya kuweka jinsia kwenye profile mambo ya kuulizana wewe ni serengeti boys -Or twiga stars inaleta balaa Me/Ke Male/Female ni mtizamo tu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hello great thinkers, I am very happy to join you in this forum. Nipokeeeeeeni jamani. Gunda Gunda.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo vipi? Naomba mniakaribishe humu jamvini nimependezwa na michango yenu mingine inafurahisha. i love you all.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello members of JF lets love each other kama mikono,kwani mikono hupendana angalia unapoosha mikono kila mmoja humuosha mwenzie,basi nasi tuige mfano huo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi Guys Greetings to all of you at Jammiiforums. I love you guys with cool taste of E.A Music. I enyoy listening to some fantastic E.A. music, On Jammiiforums, here at Rhodes University. Keep...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom