habari wadau,
nimejiunga na JF kwani nilifurahishwa na mada mbalimbali zinazojadiliwa humu ndani kwani nineshanufaika na naamini nitaendelea kunufaika kwa mengi pamoja na kutoa hoja zangu...
Asante JF na wadau wake wote kwa michango na mada nzito nzito zinazogusa jamii yetu ya Kitanzania. ndio maana nimevutiwa sana kujiunga na JF. nawapenda wote!!
Jamani mi naomba kuingia katika forum hii kwa manufaa ambayo nayategemea,kujifunza,kufundisha kukosoa,kukosolewa,kujitangaza kibiashara na mengine mengi tu,,,,HODI!!
Ninafuraha sana mimi pia kuwa mwanafamiliya ya WanaJAMII,naombeni mnipokee jamani.
Nimekuwa nikisoma makala na maoni mbalimbali kupitia safu hii,HONGERENI NA AHSANTENI SANA KWA WOTE mnaotoa...
I do hope it's all cool out there to each n every community member of this forum..i am a new member by the name of Joanna Lyimo studying my bachelor in pharmacy in India..it's great being here as...
What's a great page is this?
I hope you are all mentally, phyisically, economicallyand socially healthy!
It is my first time to post this intro to you, for short time that I click on this page I...
Asalaam Alekyum waungwana wote wa baraza hili maridhawa kabisa.Naomba kubisha hodi kwa mlango wa nyuma ili nijumuike nanyi katika kuperuzi na kudadisi mambo yanayojiri katika dunia yetu.
Naomba...
Habari zenu wana JF, Mimi naitwa Kilimi W. Shilemi, naomba kujiunga na house of Great thinkers,ili nami niweze kile kidogo nilichoficha kwenye ubongo wangu!
Nashukuru japo hamjanijibu
Wanajumuia JF,
Katika udadisi wa binafsi wakutaka kufahamu jinsi mtandao ulivyopanuka, nikajikuta nimetua katika site hii, na mimi nimefika. Nipokeeni kama waleeee!!!!!!!!
Hallo my people
A number of friends told me about this forum but i never took much interest, just a two days ago, another good friend really encouraged me to join. Here I am, Im happy to be here...
Habari Wana JamiiForums,
Mimi ni mgeni. Napiga hodi. Nimekuja kushirki "Where we dare talk openly". Napenda kutoa mchango wa Mawazo na kupata mawazo mapya.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.