Nawasalimia wakuu wote na kuwafahamisha kwamba mimi ndiye Kipunguni, na kwa sababu zisizoweza kuzuilika nitajulikana kama Kiwalani kuanzia sasa.
Shukurani sana wakuu, tuendeleze libeneke ...
Hodi jamvini wana JF..nimekua nikifuatilia mada za humu ndani kwa mda mrefu sasa nimeamua nijitose mzima mzima baada ya kuzikamata vilivyo sera na fursa mbalimbali zilizomo humu ndani
Nisiongee...
Wana ndugu,
kwa muda mrefu nimekuwa nikiitembelea hii forum kama mgeni.
jiwe la kunole nimekuja ,
wenye nyembe butu, misumeno butu, mapanga butu, visu butu, mikasi butu na kila kitu butu,
nimekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.