Hello JF members, my name is Paradox, I'm new here.
Anyways i can speak Swahili but I'm not very good at writing it so bear with me on that point, almost all my posts will be in English, So...
Nimeamua kujiunga na familia hii ili tuweze kuchangia mawazo katika shughuli hii kubwa ya kuiinua nchi yety na kubadilishana mawazo. Nategemea mtanipokea vizuri
Wadau! Nachukuwa nafasi hii kuwapongeza sana kwa uvumilivu, ujasiri, ukosoaji (ingawa wengine c wa msingi) etc... Kwa kweli mmeifanya hii blog isikike sana n bila nyinyi I believe isingefikia hapa...
Hodi hodi hapa jamfini nduku sangu wana Jamii Forum. Ni mimi Mtansania mwensenu Msee Lekasio nimeamua kujiunga ili tuwese kubadilishana mawaso katika kuendelesa hili gurudumu la maendeleo ya nji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.