halooooo!

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
wazee shikamooni!!,wadogo zangu hamjambo!!,rika langu vipi mambo zenu!!

naombeni mnipokee ndugu yenu ktk familia tuendeleze gurudumu la JF.
ASANTENI.
 
Hiyo sijui ndo Avatar ni picha yako au umepaste toka kwa wengine. Karibu ila tafadhali vigezo na masharti yazingatiwe!
 
wazee shikamooni!!,wadogo zangu hamjambo!!,rika langu vipi mambo zenu!!

naombeni mnipokee ndugu yenu ktk familia tuendeleze gurudumu la JF.
ASANTENI.

shosti karibu sana ndani ya nyumba.......utatumia kinywaji gani?
 
Karibu dear, ila hako kapicha mh, teh teh!!!sijui ni halisi au ndo mambo ya kucopy na kupaste.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom