hello wana JF poleni na shughulu za ujenzi wa taifa , pamoja na majukumu . naombeeni mnipokee kama mwanachama mwenzenu, mpokee pia mawazo, maoni na ushauri nitakapokuwa nachangia
asanteni na...
Thanks kwa kupata nafasi kama hii!jamani tanzania kama sweden inawekana!ili mradi tuamue kubadilike kuanzia mtu mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla!!si huu upuuzi wa sasa hivi!watu wanatumia...
If i had ever been so over irritated,is when I'm ignored or underestimated in whatever I'm about to do,as i believe that i can enhance an unlimited power of human spirit which i have in me and...
Helo nguys&ngirls!2po pamoja sana katika kuitetea our lovely Tanzania!2po pamoja sana katika kumake sure miili yetu inaish as long years as possible!meeeeeeen ULEVI NOMA,UNALOSTISHA!!!GO ASK MY...
Nimekuwa nikisoma mara kwa mara posts mbalimbali zinazoletwa humu na nimeshawishika kujiunga kuwa 'member' ili nami niweze kushiriki kwa michango yangu.
Naomba mnipokee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.