Hello jf

Karibu sana Miriam....samahani, kabla sijaendelea, are you he/she?

Usinisahau katika siku zako hapa JF kama wewe ni she. Mimi ni babu wa wajukuu wa kike.
 
KARIBU SANA!HUKU NDO KWA WANA GREAT THINKER WELCOME:washing::washing::washing:
 
:lol:

Miriam Nashon.........wa kure kwa wamiriki wa Geshi ra Wakurya Tangu Zamani nini?

BTW karibu sana
 
Karibu sana Miriam....samahani, kabla sijaendelea, are you he/she?

Usinisahau katika siku zako hapa JF kama wewe ni she. Mimi ni babu wa wajukuu wa kike.

hahaha!odm at his best,,lolz :)miriam karibu sana,,habari ya ngaji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom