Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimekuja kufundisha zaidi,nimefuatilia thread nyingi hapa JF hususani Jukwaa la siasa hazina mashiko,watu wanakuwa wanajadili watu zaidi kuliko hoja huu ni umbeya.Zaidi tukane kwenye Forum ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi hodi ndugu zangu waJF natumaini mtanipokea vyema jamvini asanteni.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hodi hodi wanaJF..naomba niingie ndani ya nyumba yenu ingawa niliingia kabla mkinikaribisha kwa furaha ndiyo furaha yangu na mie nawapenda wote..mwaaaaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hiii!!! JF au ok?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello bra and csta, Natumai tutakuwa pa1 kukamilisha hii sera ya Maisha Bora kwa kila Mtz. Advance thanking to you all.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello, Habari za hapa nyumbani kwenu? Nimepapenda nimeamua kuwa mtoto wa familia hii kubwa yenye uwezo mkubwa wa ku........
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu vijana na wazee(wakubwa) shikamooni. Nimevutiwa na mijadala ya humu jukwaani hivyo nimejiunga na hii forums rasmi. Ntafurahi kupata ushirikiano kutoka kwenu Great thinkers...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Shikamooni Hamjambo Marahaba Habari zenu. Nipokeeni
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi Jamiiforum mamboniyaje kweli, msogoya hapa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeingia kwa maamuzi binafsi, naomba great thinkers mnipokee, pamoja tusaidiane tujenge taifa letu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari waungwana Naitwa wazo langu Nimeipenda sana jamii yenu nami nikatamani kuishi miongoni mwenu Nimesoma ya wengi nami sasa ni wakati wangu nipate nafasi kutoa wazo langu. Nawapenda kwa sababu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wanajukwaa hali zenu? naimani mko poa.. mimi kama Gogreous naomba ukaribisho wenu katika hili jukwaa mashuhuri kuwa mmojawenu mana nimeona napitwa na mengi mazuri.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Fellow JF Members i have joined the Forum and i believe sharing ideas and experiences with you will make me a better citizen...Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nina amini mawazo mbadala yanakaribishwa humu ndani. hodi,wahusika.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jamani naombeni mnikaribishe humu jf, home of great thinkers, na kama walionipa jina nikiwa shule na kuniita critical thinker, nataka nijiangalie je mie ni critical kweli? Mgeni ni sawa na kipofu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hi JF members.im glad 2 join JF.and expect more from me.im known as Jockey The Peace maker!:hug:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wenyeji hodi humu ndani.naombeni nafasi nami nisimame.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni graduate natafuta kazi nina degree ya regional development planning.
0 Reactions
4 Replies
989 Views
Hodi hodi wana JF Members.. Mi ni mgeni wenu, naomba mnipokee kwa mikono miwili!
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Hello great thinkers,i'm a new jf member,plz accept me.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom