Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
It z pleasure 4 me to join da jf
0 Reactions
4 Replies
959 Views
MIMI MWENZENU TUWASILIANE KWA E-MAIL YANGY HII abusaadalbusaidi@yahoo.com
0 Reactions
19 Replies
2K Views
I have just registered myself to jamii form .I am kindly requesting for your assistance greet thinkers.Tutakuwa pamoja.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninajitambulisha kwenu wadau; Kama jina linavyojieleza, nimeamua kujiunga na JF hivyo naomba ushirikiano wenu. Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
hodi jamani naomba wenyeji mnikaribishe
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Napenda kuungana na JF wote kwenye mageuzi ya kweli ya mawazo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naingia mtandaoni kwa salaam ya kisonjo, Hapo Ommba! nawasalimia wanaume watu wazima na Nomma! kinamama watu wazima....ndicho cha pili nilicho ambulia kwa babu Samunge, Loliondo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waungwana husalimiana, habari za hapa ndani! Mwenzenu mgeni hapa hvyo nahtaji wenyeji waniongoze, natanguliza shukrani zangu kwenu! Ahsante.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naitwa Zakayo Olle-Shaudo, kutoka Ngorongoro. Nimeingia kwenye jamii hii nikiwa na imani kwamba tutashirikiana kwa mambo kadha wa kadha yanayonihusu mimi, wewe, yule na hatimaye yanayoihusu jamii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhima, nabisha hodi kwenu wanaJF, namshukuru mwanaJF mwenzenu MpigaKelele aliyenihabarisha habari za JF na MMU wanavyowezesha kupata unachokihitaji. ni matumaini yangu kuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajameni, nimejiungaga na majamii folamu, nipokeyeni! pha pha phaaa!!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nawasalimu wote na nawapenda wote! Nafurahi kua nanyi kwanye hii Forum.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wapendwa wa jf naomba kuingia kama ifuatavyo...............Je, nakaribishwa!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ninayejitambulisha hapa ni mwana jamii mgeni.......naomba mnipokee na kuniongoza pale itakapo bidi. Asanteni sana
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hello mnipokee na kunipa shavu wana jf
0 Reactions
6 Replies
898 Views
habari zenu waungwana, na mimi pia imenipendeza kuketi jamvini kubadilishana mawili au matatu, nawaombaa mnipokee jamani tujaribu kubanana jamvini. Asanteni mungu wabariki wote
0 Reactions
6 Replies
973 Views
Hodi jamani humu ndani. Nipokeeni na mimi
0 Reactions
3 Replies
768 Views
Wapendwa wa jf naomba kuingia kama ifuatavyo ................ Je, nakaribishwa!!!!!!!!
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Niaje waungwana, natumaini mpo pouwah, haya jaman mm mgeni humu nafurah kuja humu kuwa pamoja nanyi, Naomba kupokelewa!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni Mtanzania mzawa, ninaishi Tanzania. Nimekuwa nikisoma majadiliano motomoto hapa JF kuhusu ukombozi na ujenzi wa Taifa. Mimi pia nimevutiwa kujiunga na JF ili niweze kuuliza maswali na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom