Ngo!ngo!ngo!ngo!

Van pierre

Member
Mar 27, 2011
25
0
Thanks kwa kupata nafasi kama hii!jamani tanzania kama sweden inawekana!ili mradi tuamue kubadilike kuanzia mtu mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla!!si huu upuuzi wa sasa hivi!watu wanatumia maofisi kama sehemu za kuchat facebook,sms na umbeya wa manchesta na arsenal,and tamthiliya za kina kanumba!halafu hao hao ndo wa kwanza kumkemea ufisadi!jikemee kwanza mwenyewe na tabia zako za kibia bia,watu wanaabudu bar kuliko kazi!!!!NIkaribisheni wapendwa!
 
Huo ni wivu!!!kwahiyo watu wasishabikie vitu vilivyopo katika maisha ya kila siku???wewe wa karne hipi?
 
ingia tu ila maneno mbofu hatutaki soma jf rules
karibu tena
 
!jikemee kwanza mwenyewe na tabia zako za kibia bia,watu wanaabudu bar kuliko kazi!!!!NIkaribisheni wapendwa!

Taratibu Van pierre, fani za watu hizo, usija ukala ban hata post 5huna.
Van-Dutch thing
pierre- le Franc
Good combo.
Karibu and watch ur back in JF jukwaa la great thinkers.
 
Mbona maneno kama ya Pierrenjanka yule wa jana, sijui ameshaenda jela kwa baba mchungaji masanilo! Anyways karibu mkuu ila punguza jazba
 
Kweli mzee!ulijuaje?nashangaa nilituma topic moja tu nikawa banned!mbona sielewi elewi! Au humu namo kuna limit ya kuongea kama chadema
Mbona maneno kama ya Pierrenjanka yule wa jana, sijui ameshaenda jela kwa baba mchungaji masanilo! Anyways karibu mkuu ila punguza jazba
 
Hizi ban ndo sizielewi kabisa!kama vipi nitupie tips nizinyake vizuri
Taratibu Van pierre, fani za watu hizo, usija ukala ban hata post 5huna.
Van-Dutch thing
pierre- le Franc
Good combo.
Karibu and watch ur back in JF jukwaa la great thinkers.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom