4 4 PRINCE Senior Member Joined Mar 27, 2011 Posts 142 Reaction score 7 Mar 28, 2011 #1 Salaam ndugu zangu,naomba mnipokee nami kuwa mwana jf.nimevutiwa na mengi sana toka kwenu katika jukwaa hili.Ahsanteni sana.
Salaam ndugu zangu,naomba mnipokee nami kuwa mwana jf.nimevutiwa na mengi sana toka kwenu katika jukwaa hili.Ahsanteni sana.
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Mar 28, 2011 #2 karib sana bana. subili tukupigie wimbo wa taifa.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Mar 28, 2011 #3 karibu sana
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Mar 28, 2011 #4 Una post 19 tayari halafu unasema wewe mgeni!angalia sana lakini karibu.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Mar 29, 2011 #6 4 PRINCE said: Salaam ndugu zangu,naomba mnipokee nami kuwa mwana jf.nimevutiwa na mengi sana toka kwenu katika jukwaa hili.Ahsanteni sana. Click to expand... Karibu sana JF! Ila napenda kuaminia umejiunga JF ili kujenga Taifa na kuleta mawazo ya kutatua matatizo na sio KUWA tatizo! Karibu tena!
4 PRINCE said: Salaam ndugu zangu,naomba mnipokee nami kuwa mwana jf.nimevutiwa na mengi sana toka kwenu katika jukwaa hili.Ahsanteni sana. Click to expand... Karibu sana JF! Ila napenda kuaminia umejiunga JF ili kujenga Taifa na kuleta mawazo ya kutatua matatizo na sio KUWA tatizo! Karibu tena!