naomba mnipokee

naomba mnipokee

Kyeli Lula

Member
Joined
Mar 7, 2011
Posts
65
Reaction score
6
hello wana JF poleni na shughulu za ujenzi wa taifa , pamoja na majukumu . naombeeni mnipokee kama mwanachama mwenzenu, mpokee pia mawazo, maoni na ushauri nitakapokuwa nachangia
asanteni na mungu awabariki
 
karib sana. hii ni jamii na kuna mpaka vichaa humu ndani lakini wanatumia nick name za maselebriti. utawajua kwa michango yao. kuwa mvumilivu. karib tena
 
heee! Umensh2a sn kmbe kuna na vchaa humu ndan? Cjawah kujua. Thnx kw ku2juza.
karib sana. hii ni jamii na kuna mpaka vichaa humu ndani lakini wanatumia nick name za maselebriti. utawajua kwa michango yao. kuwa mvumilivu. karib tena
 
karb mgen! Endelea kuagza na vnywaj wkt wenyej 2kpata lunch!
 
aksante ila mi mgen mwnyej. Labda waniona mgen vle ckuwah kujua humu ndan 2po na vchaa!
yep nilimaanisha hivo, sasa ushajua ,naomba uishi kwa tahazari maana mimi memba wote hapa JF wakipotea haina shida lakini ukipotea wewe hakyanani nitauza laptop. JF bila wewe ni sawa na pilau bila spices.
 
Karibu sana JF!
Ila napenda kuaminia umejiunga JF ili kujenga Taifa na kuleta mawazo ya kutatua matatizo na sio KUWA tatizo!

Karibu tena!
 
tehe, tehe, tehe! Thanx sn klorokwin! Na mm nakuhakkshia kuwa cwez kupotea ili ucuze laptop ye2! Ntaanza kchukua tahadhar na hao vchaa waliopo humu. Unaweza kndokeza kdgo nkiona nn ndo ntajua huyu ss ndo kat ya wale vchaa wa Jf.
yeop nilimaanisha hivo, sasa ushajua ,naomba uishi kwa tahazari maana mimi memba wote hapa JF wakipotea haina shida lakini ukipotea wewe hakyanani nitauza laptop. JF bila wewe ni sawa na pilau bila spices.
 
tehe, tehe, tehe! Thanx sn klorokwin! Na mm nakuhakkshia kuwa cwez kupotea ili ucuze laptop ye2! Ntaanza kchukua tahadhar na hao vchaa waliopo humu. Unaweza kndokeza kdgo nkiona nn ndo ntajua huyu ss ndo kat ya wale vchaa wa Jf.
mara nyingi wanapendelea kutembelea jukwaa la siasa na lile la complaint, halaf ni ngumu kuwaelewa kama haujafanya kazi hospitali ya milembe. lakini usjali bana mimi nitakulinda , hapa kijijini wananiita ze natural protector
 
hello wana JF poleni na shughulu za ujenzi wa taifa , pamoja na majukumu . naombeeni mnipokee kama mwanachama mwenzenu, mpokee pia mawazo, maoni na ushauri nitakapokuwa nachangia
asanteni na mungu awabariki

karibu sana
 
karibu sana...ngoja tulete mkeka upumzike wakati tunakimbiza lile jogoo

Back
Top Bottom