BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 956
Hodihodi jamani nikaribisheni kwa upendo nawapenda nyote mko juu kama mpapai vile kama sio twin tower. im she
Mmmhh blackbe.... karibu sana, ila acha utata huo!!!Hodihodi jamani nikaribisheni kwa upendo nawapenda nyote mko juu kama mpapai vile kama sio twin tower. im she
Ahsante wote mlionikaribisha mungu awabariki sana wajameni. nimeshazunguka sana humu leo ngoja nilale sasa.ahsanteni kwa kuniomyesha upendo.Karibu sana blackberry.
karibu sana mkuu nina imani wewe ni balckberry bold
karibu sana mkuu nina imani wewe ni balckberry bold