Haya wale walevi wenzangu, na wasio walevi wa kilaji (najua ulevi wao upo wapi). Mie ndo nimeingia nikiwa chicha haswa. nayumba nashangaa nyumba haina kaunta hii.
Weita pls lete moja bariiiidi...
Habari mabibi na mabwana. Hodi tena humu jukwaani kwa maana mimi sio mgeni humu kiasi hicho. Nimekuja kwa kusudi maalum, nalo ni habari njema hasa kwa ndoa zetu na wanandoa. Hivyo popote...
Naitwa Hamid na naomba kujumuishwa katika jamii. Nategemea nitasaidi kuweka sawa mambo mengi hasa yale ya upotoshaji. Salaam Mwanakijiji lakini ukipokea chochote unaburuzwa. Salam Mwiba lakini...
Nisaidieni maana ya neno PM sielewi kwa atakae nisaidia nitamshkuru.
PM ni kifupi cha Private Message, ambayo inakuwezesha kuwasiliana na mwanachama mmoja au zaidi ya mmoja.
Habari zenu wana Jamii Forums, kwa ID ninaitwa nguvu ya buku, nina umri wa miaka 30 na ninatokea Iringa.
Moja ya vitu vilivyoniongoza kujiunga humu ni kupata elimu, kubadilishana mawazo na watu...
Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee...
Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo?
Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee...
Habari ndugu zangu, JamiiForums ninaingia baada ya kupewa sifa kedekede na watu wangu wa Karibu. Natumaini Kujifunza na Kupata connection pia. Naomba kukaribishwa !!
Habari zenu wakuu, wakubwa shikamoo, wadogo zangu mambo niaje.
Kwa miezi ya hivi karibuni since July, 2024 nimekuwa mfatiliaji mzuri tu wa majukwaa ya JF, ilianza kwa kusearch "Elimu Tanzania"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.