Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ni mara ya kwanza kujiunga JF ila nmekuwa nkiliona jukwaa hili mtandaon nikawanamatamanio ya kujiung nanyi
5 Reactions
42 Replies
338 Views
Njia za kupita sizioni, yaani mambo ni hoves😅 naogopa nisije nikachanganya mambo 😄😄😄 Natoa tahadhari mkinikuta nimeangukia mahali humu msinicheke
12 Reactions
108 Replies
1K Views
Habari wakuu, naitwa For educational purpose. Nimeingia rasmi jukwaani kushare elimu ya Cyber Security, mbinu za kujilinda, na mienendo ya kule Dark Web. Kama unapenda mambo ya udukuzi, na...
4 Reactions
16 Replies
184 Views
Habari wakuu baada ya kupotea kwa muda nimerudi na account nyingine jamii forum.
3 Reactions
7 Replies
182 Views
Mimi ni new member humu JamiiForums naomba mnipokee. Ndugu zangu humu
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Shkamooni wakuu! Nawasalimia me ni mgeni humu, nimejiunga juzi, ila JF nimeijua tangu mwaka jana. Mnikaribishe tafadhali.
13 Reactions
57 Replies
805 Views
Habari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
8 Reactions
47 Replies
463 Views
Jamani mimi nimejiunga leo jf nipeni hata like moja mana nimeteseka mno mpaka nimefanikiwa
7 Reactions
7 Replies
107 Views
shkamooni, kaka na dada wa Jamiiforums. Mimi member mpya JF nipokeeni, nawapenda woote.
10 Reactions
64 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu nimefika mwaka juzi naomba mnipokee.
7 Reactions
21 Replies
465 Views
Habari zenu wakuu Mimi ni mwanachama mgeni nimejiunga siku za karibuni ila nimekuwa msomaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa
9 Reactions
45 Replies
428 Views
Shikamoo wakubwa pole na majukumu na mihangaiko mimi ni mgeni naomb mnipokee . Shukrani nyingi ziende kwa mwanzilishi wa JamiiForums kutokana na kuazisha jukwaa hili kupitia jukwaa hili...
2 Reactions
9 Replies
189 Views
Wakuu kwemeni na hamjamboni aisee nimekumbana na changamoto ya namna nzuri ya kutumia JF 1. Nashindwa kuwatag watu niwapendao mf.Seran 2. Nashindwa kudouble reply 3. Nashindwa kuquote uzi kama...
10 Reactions
44 Replies
406 Views
Salam Kwa mara ya kwanza namejiunga JF rasmi, heshima kwenu wadau Kwa niaba ya wengi naomba niwataje wakuu kadhaa walio nivutia zaidi kuingia humu. 1. Robert H. Mtibeli 2.Mshana jr 3.Tate mkuu...
6 Reactions
12 Replies
201 Views
Habari zenu ndugu,,,, wakubwa shkamooni!!!!!! Mim mtanzania mwenzenu naombeni ukaribisho wenu nimeamua kujiunga na jamiiforums.
1 Reactions
16 Replies
227 Views
Hello guys l'm new member here so we are in this together
2 Reactions
7 Replies
159 Views
Asalam aleykum,Bwana asifiwe Watanzania wenzangu. Awali ya yote Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimeifuatilia tangu nipo shule mwaka 2018, hivyo naombeni mnipokee. Kuna kitu nakiona na kinaniumiza...
9 Reactions
18 Replies
307 Views
Habari zenu, naomba mnipokee. Natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana
6 Reactions
36 Replies
487 Views
Hello Nimekuwa sehemu ya Familia. Niko tayari kuchangia elimu ya juhudi dhidi ya rushwa na udanganyifu kunufaisha wadau mbali mbali. Karibu
7 Reactions
11 Replies
245 Views
Wakuu nadhani kila moja yuko poa humu ndani. Kama hauko poa usijali mambo yatakua fresh au unaweza kutuambia tukajua namna ya kukusaidia
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom