Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mi wamda mrefu umu ila nilikuwaga nasoma sasa nimeamua kujiunga mana kuna mada zinanivutiaga nashindwaga kuchangia asa ndo nimejiunga ivyo
6 Reactions
27 Replies
448 Views
  • Redirect
Hope we can be together till the end
0 Reactions
Replies
Views
Hellow wana JamiiForums, mie ni mgeni tuu. Naombeni ushirikiano wenu na mapokez mazuri. Nawapenda
19 Reactions
269 Replies
22K Views
nawasalim nyote mimi mgeni naomba mnipokee
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hiki ni kiumbe kigeni kabisa humu... kinahitaji ushirika wa mambo mengi sana... yale ya sirini msiogope kuni PM na yale yanayojadirika natia miguu yote humo... npo single so sihitaji usumbufu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa. Napenda kushukuru kwa uongozi...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Guys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia. Kama kuna kitu natakiwa...
8 Reactions
82 Replies
1K Views
Habarini wanajukwaa. Naomba mnipokee kwa mikono miwili Mimi ni mgeni humu jukwaani, natanguliza shukrani 🙏🏿
6 Reactions
16 Replies
484 Views
Tunawasalimu wote kwa pamoja Ndugu Wana Jf , ni matumaini yetu kwamba nyote mko salama na kwa wale ambao wapo kwenye changamoto ni maombi yetu kwa MUNGU kwamba awafanyie wepesi kabisa. Naam mara...
6 Reactions
14 Replies
621 Views
Wakuu mnikaribishe Moose Bull katika jukwaa hili
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Hodiiii wana jukwaa
2 Reactions
5 Replies
428 Views
Jamani baada ya mda mrefu nimerudi sema ile account ya Troll JF nimeshindwa ku recover . Nikatengeneza nyingine lakini napambana kuirudisha ngoja niwasiliane na CEO Maxence Melo
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi member mpya humu
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni naomba mnipokee pia naomba support yenu
11 Reactions
224 Replies
7K Views
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa. Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo...
16 Reactions
322 Replies
10K Views
Natumai nyote mu buheri wa afya njema. Ni mgeni katika safu hii, nahitaji ushirikiano wenu.
0 Reactions
3 Replies
45K Views
Nimekua nikifatilia JF kwa muda sana lakini hatimae nimeamua kujiunga rasmi na ustaarabu mimi mikiki siiwezi
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Hello I'm Doctor love coach ..Here to guide you through the journey of love relationship and self discovery and discover the love you have been searching for... Dr.Love Coach
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Salamu kwenu JF platinum members, JF expert members, JF senior members, JF members and JF new members. Paulo Yamal muhas naingia hapa katika ulimwengu wa JamiiForums Nasubiri ukaribisho wenu wakuu.
10 Reactions
115 Replies
6K Views
Hakuna jambo lisilo na mwanzo wala mwisho, pia kutangulia kuondoka si kuwahi kufika, japo mgeni humu ila natumai tutaenda sambamba, natagemea ukaribisho mwema.
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom