Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Natumain umzima wa afya mimi ni mgeni humu natumaini nipata ushirikiano na nitajifunza mambo mengi Kwa sasa nipo Dar es Salaam. Hari ya hewa ya Leo ni mvua na kibaridi Kwa mbaaari. Asante
6 Reactions
12 Replies
728 Views
Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye. Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula...
16 Reactions
207 Replies
5K Views
Habari zenu, Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri.
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Can I join your Community? Mama Mtalika
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu napenda kujitambulisha. Naitwa Muberwa ninaishi Dar es Salaam. Nimefurahi sana kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nawatakia majadiliano mema na siku njema.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hi dears! naomba nijitambulishe kwenu, naitwa naima, naomba tuwe pamoja ktk kubadilishana mawazo wana jamii! thanks
3 Reactions
22 Replies
3K Views
habari its my first time to join this forum thank you for allowing be to be ure member lets all make our tanzania a better place.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
:behindsofa: mm ni mgeni ,sijui nilipoingia ni penyewe.
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Jina langu kamili naitwa IKWETE Nimefurahiswa sana na elimu ninayoipata jf habar, historia mbalimbali na mengineyo meng nimeipenda sana jf.nimekuja humu sitoki ngo nitakua nachangia kila mada...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari ndg, jamaa na marafiki, nitakuwa Rayns kwa humu, naombeni mnipokee kama member mwenzenu, nitafurahi mkinielekeza pia namna ya kuishi humu, kuna watu pia na wafahamu kwa taswira ya kufikiria...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
hodiii jf, naombeni kuwa mwenyeji nimechoka kuwa mgeni
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawapenda
3 Reactions
5 Replies
525 Views
Habari wakuu Mimi ni mgeni nahitaji support yenu na ushirikiano wenu Ova
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wakuu Leo nimeamua kuingia rasmi JF Kama ilivyo id yaani__"ZEE LA MICHONGO" Mainly nitakuwa nahusika na fursa na michongo ya pesa N,B. Forex, cryptocurrency, ponzi scheme, betting...
3 Reactions
3 Replies
450 Views
Hello guys, Nimekuwa nikiifuatilia JamiiForums kwa kipindi kirefu, lakini ilikuwa ni kupitia kwa Mitandao yake ya kijamii, but now here i am. New member of this Forum.
11 Reactions
50 Replies
3K Views
Jameni mimi ni mgeni hapa ndio naingia hivi, haya mabegi naweka wapi?
3 Reactions
5 Replies
449 Views
Habari zenu Wana JF Mimi nimgeni hapa kutoka Kenya naomba mnikaribishe thank you 🫂
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Hellow member mambo zenu nimekuja rasmi naomba mnikaribishe
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Hallo wana JF. Nimejiunga leo na hii forum lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda. Naamini mchango wangu utaongeza, japo kidogo kwenye mabadiliko ya fikra na hazina ya ujuzi kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf mi mgeni naomba MNIKARIBISHE rasmi kama mwanachama wa jf
3 Reactions
10 Replies
761 Views
Back
Top Bottom