Salamu kwenu great thinkers, naomba mnipokee, humu!

dark web

Member
Joined
Aug 23, 2025
Posts
18
Reaction score
15
Habari za majukumu wakuu poleni na hongereni pia.

Nimekuwa nikifatilia jf Kwa muda mrefu na hatimae nimeona na Mimi nijiunge.

Mimi napatikana dsm, na najishughulisha na ufundi wa Umeme, tv, w.mashine,ving'amuzi,na cctv camera, mawasiliano yangu ni 0755 969589 asanteni sn wakuu!
 
Ile ID yako ya tokea 2012 hautaitumia tena? Vipi kuhusu ile ya toka 2015 unayozuga kwamba ni demu nayo unaitupia kapuni jumla?
 
Back
Top Bottom