Hatimae Nimeamua Kujiunga Rasmi.

Borro

Member
Nov 29, 2011
98
40
Baada ya muda mrefu JamiiForums kuwa chanzo changu muhimu sana cha kupata habari muhimu na tofauti tofauti na kwa wakati muafaka hatimae leo nimeamua kujiunga rasmi hapa jamvini. Wakuu heshima kwenu nyote, nawasilisha.
 
Mdada hilo jina wala lisikupe mashaka wala nini, ni jina tu kama majini mengine.
 
Too late
hamia kabisa upate mke kama ujaoa upate mume kama ujaolewa huku tunafungisha ndoa kutoka kwa mungu tu
jitahdi tu
utoe sadaka njema
zaka njema
dhabihu

na usijaribu kutongoza house girl wenu hata kama wazazi awapo///hizi ni rules za mkemwema wa jf
 
Baada ya muda mrefu JamiiForums kuwa chanzo changu muhimu sana cha kupata habari muhimu na tofauti tofauti na kwa wakati muafaka hatimae leo nimeamua kujiunga rasmi hapa jamvini. Wakuu heshima kwenu nyote, nawasilisha.

Karibu sana JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom