Broken Heart

Broken Heart

B H

Senior Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
104
Reaction score
10
Naomba karibishwa nipate pumzika.
 
Karibu sana Broken Heart naamini ukiwa hapa moyo wako utaponywa:juggle:
 
karib bana. halaf tahazari sana, hapa JF wanaweza wakaubreak zaidi huo heart wako, kuna wazembe waongo kuliko lucifer hapa ukumbini.
 
Asanteni sana wana JF kwa kunikaribisha mie mwana moyo kuvunjika vunjika.
 
pole sana na masaibu yaliyo kukuta na karibu jana. Naamini moyo wako utapoa BH
 
karibu sana! hapa kuna pumziko la moyo, pita hadi ndani
 
Ila uwe mvumilivu sana,kama una presha pia utaumia zaidi
 
Back
Top Bottom