Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hallo friends, nabisha hodi naomba kufunguliwa mlango ili nami niingie rasmi ndani ya JF family.......wenyeji mpoooo? Wish you all pasaka njema.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
I've following jf quite a while and i think it is about time for me to make my contribution as a member,thanx
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Deleted
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilisahau kujitambulisha lakini mimi nimeathiliwa na hawa mafisadi kwa muda mrefu na sasa ama zangu ama zao nimekuja kudai haki yangu na kuelimisha umma
0 Reactions
8 Replies
1K Views
New face on the doorstep, heard the bell! Pliz nod it right for new jaamz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naitwa Nchimbi Ausi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hpa Tanzania. ni miongoni mwa watu wachache sana waliotokea kuipenda taaluma ya ualimu. Huwa napenda sana kujadili masuala mbalimbali ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HI
Hello jf,am new here plz naombeni ushirikiano wenu.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wana Jf! Ninafuraha kujiunga ktk mtandao wa jamii naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
hodi hodi wakuu, ruksa kutua na viatu ?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
jamani I like this community and I would like to join you guys, so please naombeni mnipokee.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapendwa, wanajamvi..... Nafurahi, hatimaye nmepata nafasi ya kujumuika nanyi. Tuendelee kuwa pamoja.
0 Reactions
6 Replies
912 Views
Waungwana nakusalimieni.ndugu yenu nimejiunga na JF baada ya kugundua mchango mkubwa ninaoupata toka topic mbalimbali za Jf. naomba ushirikiano wenu.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
I am a new member to this site or rather jf,so i wiil request all the essential assistance.i might rather be interested in science topics especially so in human and veterinary medicine.politics...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hodi waungwana mimi ni mgeni kwenye jamii forum naomba mnipokee
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jf nawasalimu. Mimi ni mgeni,naomba mnipokee,hakika hapa ni mahali pa zuri napakubali sana.nilikuwa naingia kama mgeni ila nikaona chabo sio nzuri.!!!!!! Keep it up...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ki2 had ndan asee,vp mpoo? Kijana ndo nimesajiliwa kuja kukipiga kwenye tim yenu hpa. . .
0 Reactions
18 Replies
2K Views
...Naomba kuingia wajamen...samahani kwa kuombea nikiwa ndani!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
guys,here comes sunshine.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF wote ninayofuraha kubwa sana leo hii kuachana na u guests wa JF na kuwa member kamili. Ni matumaini yangu nitajifunza mengi na kutoa changamoto nyingi kwa yale ninayo ya fahamu. Pia...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
napiga hodi waungwana, naomba mnipokee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom