Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
wana jf napenda kuwasalimu. nimejiunga this date
0 Reactions
9 Replies
935 Views
Mimi ni mgeni naomba mnipokee,nafurahi kuwa sehemu makini na yenye watu makini. Nimepiga chabo kwa muda nikaona haina maana.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Refer to the header!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naingia kwa furaha, ukumbini nakaribia. Nimechungulia kwa karaha, nikiwa nje nilikaribia. Sikuweza kula raha, nilipotaka kukoment sikuruhusiwa. Lakini leo naingia, chochote naweza kuandika...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Hodiii mpaka ndani...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
I AM PROUD TO JOIN JF FORUM:whoo:
0 Reactions
3 Replies
761 Views
KWA JINA NAITWA NDINDA, NAPENDELEA KUJADILI MAMBO YA MIPANGO MIJI NA PROJECTS MBALIMBALI ZA MAENDELEO NCHINI TANZANIA, PIA NI MEMBA KATIKA THREAD YA TANZANIA KATIKA SSC FORUM TANZANIA | General...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya kuwa mgeni kwa muda mrefu,leo nimepata msukumo wa kujitambulisha kwenu great thinkers!!Naomba mnipokee!!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimecome kujiunga na jamiiforums. I hope tutashirikiana vyema. One love africa
0 Reactions
4 Replies
886 Views
Amani ya MH.GOD Iwe nanyi
0 Reactions
6 Replies
981 Views
...Jina langu (la kalamu) naitwa Kalamunzu dia Zinguku. Nimezaliwa mwaka 1938, tarehe 2 mwezi wa sita (Juni) katika kisiwa cha Bermuda (kwenye pembetatu). Si kawaida sana kwa sisi watu wa Bermuda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari zenu jamani wana jamii,mimi ni mwana jamii mchanga ..ila wito wangu ni kwa sisi sote kuhakikisha tuna ibua changamoto zitakazo pelekea mabadiliko chanya ktk jamii yetu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo vp wana JF,mm ni mgen pande hizi naomben mnipokee niwe mojawapo kati ya wanajf,nimejiunga nanyi kutokana na mambo mengi mazuri mnayojadili humu nami sina budi kutoa thnx zangu kwenu kwa...
0 Reactions
8 Replies
983 Views
Kwa kweli nimefurahishwa na mada zinazozungumziwa humu ndani na pia member s mbali mbali wanaotoa michango yao yenye kusaidia na kuelimisha mawazo na maoni yenu ndiyo yamejifanya nijiunge kwenye...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Hy ban mamb vp hw do u c da politicl situatn in Tz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf,mimi ni member mpya wa jamvi hili..jf imenihabarisha na kunielimisha mno,..i hpe am welkamd kuchangia ili niweze kuelimisha
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jaman naomben mnitambue wanajamvi wa jf! Me wa muda kiac lakin ckujitambulisha had nimefurumushwa vymbn jaman!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndg zangu HODI, Nimekuwa nikiisoma forum hii kwa kitambo na sasa nimeamua kudiriki kujiunga rasmi. Nimeingia hapa kwa kutumia uhalisia wa jina langu kwani naamini ni forum iliyo huru, wazi &...
0 Reactions
9 Replies
908 Views
habari zenu bana......hodi mpaka ndani
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu wana jf. naomba mnipokee jamvini
0 Reactions
4 Replies
762 Views
Back
Top Bottom