knock knock......!

Yakuonea

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
601
276
I've following jf quite a while and i think it is about time for me to make my contribution as a member,thanx
 
karib bana! unatakiwa kuzibiti hasira zako,wakikukera unatakiwa kutujulisha sisi mods na sio kujibizana nao. karib sana, jiskie upo honeymoon.
 
hahaha!gazeti la udaku!!!na ww kwa ubahili wako hukununua tena bda ya kuona zimeisha!kamkaribishe mzee wa upekuzi,,
bajeti ya JF kwa upande wa jukwaa la introduction imepunguzwa kwa 15% (reason: figganigga na mke wake husninyo hawakuchangia ile harambee ya mkono mtupu haulambwi), zee la upekuzi likikaribishwa si litapekua ma PM yetu?
 
figga na mkewe hawajachangia maana ni wagonjwa hata muda wao mwingi wanautumia kule kwa madokta kwa ajili ya matibabu,,hili jukwaa linahitaji kuongezewa pato mm na ww tuwe weka hazina,katavi ataendelea na urisepshenisti.
 
mia!
halaf huyu mgeni ana bahati kweli kukaribishwa na klorokwini na wiselady, ole wake aje kuchangia pumba, tunacancel ukaribisho wote.
 
figga na mkewe hawajachangia maana ni wagonjwa hata muda wao mwingi wanautumia kule kwa madokta kwa ajili ya matibabu,,hili jukwaa linahitaji kuongezewa pato mm na ww tuwe weka hazina,katavi ataendelea na urisepshenisti.
Kwenye bajeti yenu ya jukwaa msisahau japo maji ya kunywa kwa ajili ya marisepshenisti......
 
karib bana! unatakiwa kuzibiti hasira zako,wakikukera unatakiwa kutujulisha sisi mods na sio kujibizana nao. karib sana, jiskie upo honeymoon.

Kumbe wewe ni mod... Ngoja kwanza......kuna kesi somewhere.....lakini nina wasiwasi kama haki itapatikana...!
 
karib bana! unatakiwa kuzibiti hasira zako,wakikukera unatakiwa kutujulisha sisi mods na sio kujibizana nao. karib sana, jiskie upo honeymoon.
Kuna mpya umemwona??ila nimekusaidia kumkaribisha usikonde ila unarunusiwa kuweka mawaidha!!
 
I just want to thank u all kwa ukaribisho wenu it is such a great feeling to be part of jf,it has been very informative with regard to most of the issues happening back home(Tanzania),when i left tanzania it was during the time of president mkapa, seemingly alot has happened, asanteni kwa kutufamisha ya huko, tuko pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom