Kirusi hatari kimeingia BE AWARE

Kirusi hatari kimeingia BE AWARE

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,552
Reaction score
2,387
Mlidhani Tanzania mmepona na mie mnajidanganya kwa maana sasa nimeingia rasmi kuwashambulia. Nikaribisheni au msinikaribishe ila ndo nimeingia.
 
MAHESABU hutumika katika kila jambo ili kufikia malengo stahili, kinakarribishwa ila kina MAHESABU au kimekuja kichwakichwa/username ya pili?
 
Tulia wewe kirusi cha Ecoli,humu utatulizwa tu.Karibu sana hata hivyo.
 
MAHESABU hutumika katika kila jambo ili kufikia malengo stahili, kinakarribishwa ila kina MAHESABU au kimekuja kichwakichwa/username ya pili?
Naanza kukupenda Mahesabu, wewe ndio kichwa cha hapa nini?
 
Kwa taarifa yako Ecoli si kirusi ni bacteria, tena bactteriia mwepesi sana, tuna antibiotics nyingi tu. Karibu Escherichia coli!
 
Mi nilivyoona heading nikajua kirusi kweli,kumbe ni huyo bacteria Escherichia coli! Mbona hana noma kabisa na tunaishi naye peaceful ktk mwili wetu tena huwa anatulinda.Kajipange upya kisha uje na kirusi chako hatari labda ndo tutakuogopa! Just joking, welcome to the world pal!!!!!!!!!!!!
 
Kirusi? kwahiyo unakuja kuharibu afya ya JF?
 
..Duu, Karibu KIRUSI, ila ujue siku hizi kuna kikombe; hivyo hutasumbua....
 
He, umeingia leo leo na maneno yote hayo, kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom