Hodi

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,239
1,884
Waungwana na magreat thinkers naomba tuungane kwa pamoja kujenga jumba la busara na uzalendo.
 
Karibu, japo umeingia moja kwa moja sebuleni bila kupitia chumba cha wageni.
 
karibu ndio kwanza naanza kula kwa vile hujabisha hodi mlangoni(jukwaa la ukaribisho) sitakupa bakuli hapa. chakula cha hapa ni busara,kufikiri kwa kina,epuka jazba,matusi kebehi au ushabiki usiokuwa na tija kwa wanajamii.
 
Karibu rafiki, lakini mbona hadi chumbani? Hawajakuonesha pa kufikia? Hebu rudi nyuma kidogo kuna chumba cha wageni (utambulisho), nitakukuta hapo tuzungumze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom