Hodi hodi..Natakamilisha 40,000 members

Hodi hodi..Natakamilisha 40,000 members

Gardener

Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
37
Reaction score
8
Nimeingia rasmi jukwaani naomba mnipokee,nilikuwa nasuburi members wafike elfu arobaini..baada ya mimi kuingia wanakuja kama laki sasa,my take..mimi simo kwenye lile kundi.
 
karibu sana ila uje vizuri..yaani wewe ulikuwa unasubiri wafike members 40,000,we hamnazo kabisa.
 
mbona wajihami sana ndugu yangu...anyway karibu sana jamvini.
 
Nimeingia rasmi jukwaani naomba mnipokee,nilikuwa nasuburi members wafike elfu arobaini..baada ya mimi kuingia wanakuja kama laki sasa,my take..mimi simo kwenye lile kundi.

Hapana bana! umechakachua1 Baada ya board of directors ya JF kuangalia rekodi zake iligunduliwa wewe ni mwanachama wa 40,051 kujiunga na sio wa 40,000 kama ulivyodhani hahahahah lol!. Karibu sana jamvini Mkuu.
 
Inawezekana kweli,ila atleast azma yangu imetimia,nlikuwa nataka kuiona jf ina more than 40,000 members..thanks mkuu
 
Back
Top Bottom