Romance jina langu, JF nia yangu, GT watu wangu naomba mnipokee tena binti mnyenyekevu....
Nilipigwa burn ya maisha ila nimejirekebisha... teh teh teh
Kiss Kiss Kiss JF... Mwaaaaaaaaaaaah!
Umevua gamba, sio? karibu tena mama, ila safari hii kua mnyenyekevu kweli usipigwe tena ban nyingine. JF ina wenyewe na sisi wote ni wageni tu humu ndani. Happy to have you back (kama ni yule ninae mfikiria mimi)
mmmmmmmmmmmmmmmmhhh!Naitwa Babu Asprin ODMMtaalam wa kukagua *matiti* ya wajukuu.
karibu sana JF Romance
Lakini jina lako la zamani ni nani hebu nipe kumbukumbu kidogo
Tuko pamoja
Karibu Sana.....,
Ila in old life kabla haujala BAN je tulikuwa marafiki, maadui au....???
Anyway karibu tena na remember ukipigwa BAN you can allways come back kivingine.
Kweli Kabisa Let Bygones be Bygones.....,Tugange ya jao GT, nimekuja upyaaaaaaaaa, yoote ya kale nimefutaaaaaaaaa, alienipelekea burn sitaki hata kumsikia lakini... why lie jamani teh teh teh lakini sio wewe asipite tu hapa kunikaribisha... Khaaaa