Hodi mpaka ndani,
Mimi ni mgeni japo sultani, nahitaji kukaribishwa na kushauriwa. Kama sultani majukwaa yote yananifaa, lakini mnaona jukwaa gani litanifaa zaidi?
Jamani hamjambo humu, jamani nilijiunga hapa wiki 2 zilizopita ila nilikaa siku nne tu nikala BAN na ndo kwanza kifungo kimeisha. Naombeni sana muwe wastarabu msitusababishie wengine BAN. Kuna...
Ndugu zanguni mimi ni mwana JF mpya nomba niwape hongera kwa kulisukuma mbele jamvi hili la JF.Naomba tushirikiane ili tuzidi kulipeleka mbele jamvi hili maana ni la muhimu sana katika kupashana...
Ndugu zanguni mimi ni mwana JF mpya nomba niwape hongera kwa kulisukuma mbele jamvi hili la JF.Naomba tushirikiane ili tuzidi kulipeleka mbele zaidi jamvi hili maana ni la muhimu sana katika...