hodi mara ya pili

hodi mara ya pili

PongLenis

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
427
Reaction score
136
wadau nilipewa BAN ya miezi miwili nimerudi tena .. nipokeen!...


kule jela kubaya SANA...... hakufai!
 
Nadhan umejifunza sasa. Lazma utafata sheria.
 
welcum back mkuu.................jiangalie usije rudishwa tena rumande
 
Pole sana. Unaonea utamu wa sheria?
 
Ilikuwa kosa gani,,,,,,
hebu tupe tena burudani............
 
wadau nilipewa BAN ya miezi miwili nimerudi tena .. nipokeen!...


kule jela kubaya SANA...... hakufai!

.................karibu tena,mkuu hivi BAN ni nini?.......................au ni wapi? Naomba kufahamishwa.............
 
Back
Top Bottom