hello wanajamii foum

hello wanajamii foum

kitiga

New Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Ndugu zanguni mimi ni mwana JF mpya nomba niwape hongera kwa kulisukuma mbele jamvi hili la JF.Naomba tushirikiane ili tuzidi kulipeleka mbele jamvi hili maana ni la muhimu sana katika kupashana habari na kuelimishana mabo mbalimbali sisi wenyewe.Asnteni sana na tuko pamoja
 
Karibu sana, pita ndani....huyo aliyekufungulia mlango anaitwa mikatabafeki nami naitwa katavi, subiri chatu dume anakuja na kinywaji....
 
Mtafute mtu anaitwa Invisible kwanza umsalimie
karibu sana
 
Karibu sana. Jina langu ni kama linavyosomeka na avatar inajieleza!. Kama unakula dawa karibu huku tuamke.
 
Kwa mikono miwili karibu sana,ila zingatia kanuni,.........
 
Back
Top Bottom