Hodi hodi hodi wenyewe!!!!

Hodi hodi hodi wenyewe!!!!

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
heshima mbele wana jf,naombeni mnipokee nami niweze kuwa mmoja wa familia hii! Asanteni sana nategemea ushirikiano wenu kwa pamoja!!!!

Kribu mkuu!
We ndiye mmiliki wa Tripple A radio and club sio?

Karibu sana, the home of great thinker,

Nami pia nakukaribisha....sijui nikupe knywaji gani?....

asante jamani keren mm maji tu kwshneh!!!

Tripple A umejibu kama JF member hasa... yaani hadi waweza fikiri hio ni alter ID (thou sio)

Karibu saana...

Asante jamani Asha nipo katika uwanja wa wajanja ile mbaya sasa!!!!

Asante jamani Asha nipo katika uwanja wa wajanja ile mbaya sasa!!!!

Na naona wa Kufaa haswa maana ni dhahiri wewe Mjanja... Niambie forum gani ulikua unavisit saana kama guest??

Similar Discussions

Back
Top Bottom