Hodi hodi wenyeji

Hodi hodi wenyeji

SULTANI

Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
53
Reaction score
15
Hodi mpaka ndani,
Mimi ni mgeni japo sultani, nahitaji kukaribishwa na kushauriwa. Kama sultani majukwaa yote yananifaa, lakini mnaona jukwaa gani litanifaa zaidi?
 
Karibu sana, majukwaa yote yanakufaa!
 
karibu MMU na kufurahisha macho kwenye Jamii photo's...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom