Ndio kwanza nimejiunga jf, naomba ukaribisho wenu.

SenBoy

Member
Joined
Sep 7, 2011
Messages
38
Points
95

SenBoy

Member
Joined Sep 7, 2011
38 95
Salaam wana JF, leo ndio siku ya kwanza kabisa kujiunga nanyi katika Forrum hii. Nimefanya hivyo kutokana na kuvutiwa na uhodari wenu katika kuchangia mada mbalimbali hasa za kisiasa. Natumaini tutashirikiana pamoja katika kuelimishana na kuhabarishana matukio mbalimbali yanayohusu nchi yetu Tz pamoja na Ulimwenguni kwa ujumla. Ahsanteni.
 

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,497
Points
1,225

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,497 1,225
Karibu sana unafiki uache ulikotoka hapa ingia na evidence, otherwise vingine tutakua tunakumbushana
 

Forum statistics

Threads 1,379,325
Members 525,385
Posts 33,743,021
Top