hello wana jf

hello wana jf

karibu sana Mama Diana...Diana mzima? msalimie sana.
 
Mama Diana msaada gan tena? Diana mzma? Mwambie nampenda.
 
Mama Diana vipi? Au Diana anashida? Sema nitamsaidia! 🙂
 
Karibu mama diana mkaribishe na bac na baba diana nae kwa ajili ya ulinzi ili usipotee humu
 
Je Wewe Mama Collin umewahi kumkaribisha hapa JF? 🙂
Karibu mama diana mkaribishe na bac na baba diana nae kwa ajili ya ulinzi ili usipotee humu
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
 
karibu sana ni msaada wa nini tena au baba Diana anakutwanga ngumi
 
Back
Top Bottom